lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Kama Ni Rahisi - Zuhura shaban Lyrics


By: Admin | Artist: Z zuhura shaban | Published: 2024-26-09T00:18:54:00+07:00
Kama Ni Rahisi - Zuhura shaban LyricsLirikku.ID - Kama Ni Rahisi - Zuhura shaban Lyrics: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Kama Ni Rahisi - Zuhura shaban Lyrics" yang dinyanyikan oleh Toton Z zuhura shaban. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Kama Ni Rahisi - Zuhura shaban Lyrics Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

kama ni rahisi

kama ni rahisi ungelianza ili kuyatenda
sina wasiwasi wakuyapoteza niliyoyaunda
natoa nafasi kwa anayeweza aje kunishinda
ameshanihisi kwake napendeza ndiyo kanipenda

aliponitaka ili niwe wake sik*mhofia
sikuwa na shaka hilo ombi lake nimelipokea
sikubabaika tangu anitake nimeshatulia
sitobadilika naipata kwake raha ya dunia

kama ni rahisi ungelianza ili kuyatenda
sina wasiwasi wakuyapoteza niliyoyaunda
natoa nafasi kwa anayeweza aje kunishinda
ameshanihisi kwake napendeza ndiyo kanipenda

mapenzi adhimu yasiyo mithali yameniingia
tena ni matamu kuliko asali nayafurahia
walonilaumu potelea mbali leo nawaambia
sitojidhulumu kwa w*ngu mpenzi nikaangaamia

kama ni rahisi ungelianza ili kuyatenda
sina wasiwasi wakuyapoteza niliyoyaunda
natoa nafasi kwa anayeweza ajе kunishinda
ameshanihisi kwake napendеza ndiyo kanipenda
nimemuamini ni w*ngu mlezi anayenileya
w*ngu wa moyoni tena namuenzi namnyenyekea
nakula yamini pendo sigeuzi nimeswafi nia
uovu asilini kwa w*ngu mpenzi sitomtendea

kama ni rahisi ungelianza ili kuyatenda
sina wasiwasi wakuyapoteza niliyoyaunda
natoa nafasi kwa anayeweza aje kunishinda
ameshanihisi kwake napendeza ndiyo kanipenda

toka awe w*ngu nami niwe wake kigiuu na njia
mara mje kw*ngu mara mwende kwake fitina kutia
hili pendo langu kwake liondoke mmedhamiria
yabaki machungu kisha mtucheke na kuhadithia

kama ni rahisi ungelianza ili kuyatenda
sina wasiwasi wakuyapoteza niliyoyaunda
natoa nafasi kwa anayeweza aje kunishinda
ameshanihisi kwake napendeza ndiyo kanipenda

mtafanya nini, mtafanya nini?
pendo letu la wawili nyie lawaudhi nini nyie?

mtafanya nini, mtafanya nini?
penzi letu la wawili linawaudhi nini nyie?
umbea unakazi eleweni mafitina
kazi yenu uchochezi
lengo lenu tuachane

si mikiki si biriti lilomlewesha bwana nyie

mtafanya nini, mtafanya nini?
penzi letu la wawili nyie lawaudhi nini nyie?

kama munadhani ni rahisi mungeanza kuyaunnda
mimi sina wasiwasi najiamini napendwa
naye kw*ngu kajihisi ndomana ameniganda mimi

mtafanya nini, mtafanya nini?
huba zetu za halali zinawakata maini
mumeona twapendana roho zinakuumeni
wapenzi tumeshibana hatujali mafitini
pendo letu limefaana linawakata maini nyie

mtafanya nini, mtafanya nini?
hamuezi kutuzidi tushakolea pendoni sie
mtafanya nini, mtafanya nini?
pendo letu la wawili nyie lawaudhi nini nyie?
©shariff kombo +254 743 144 211


Saksikan Video Kama Ni Rahisi - Zuhura shaban Lyrics Berikut ini..


Random Song Lyrics :

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...

LIRIK YANG LAGI HITS BULAN INI

Loading...