![lirikku.id](/inc/logo.png)
Lirik Lagu Volvexzshawa - Saba Saba
By: Admin | Artist: V volvexzshawa | Published: 2024-13-07T01:24:52:00+07:00
![Lirik Lagu Volvexzshawa - Saba Saba](https://i0.wp.com/file.laponta.id/img/uploads/lirik-lagu-volvexzshawa---saba-saba.png)
your honor nak~mbuka vizuri ilikuwa tarehe saba ,mwezi wa saba ,siku za saba saba .na pilka pilka zangu ,nikapatana na msupa atoti amechora saba , alikuwa amevaliya koti, na ndani ya koti kulikuwa na noti and that’s why saizi tuko case ndani ya hii koti .mwakilishi waradanisha? je wasikilizaji waradanisha? otherwise tuendele….so nikagota msupa atoti nikamuliza na atoti huko na matress kwako sema form .kando kando ni ready njugu kilo tatu na mokobero .miti miti (wikendi choke me baby ,monday case number 47 k~mbe alikuwa under 18 and that’s why your honor niko here , waradanisha!
hook ; shgri ben shgri ben ,saba saba cheza saba ,saba saba yoo ,cheza saba (x2)
na mzee okwonko kwani twezi fanya colabo,nimebeba paka tambla na kando kando nina sponyo master zungwen siki ch~nkuu tunabonga jingwen,yani ki belijin okwonko waradanisha!
hook ; shgri ben shgri ben, saba saba cheza saba, saba yoo, cheza saba (x2)
sipendi wanasiasa juu wakitaka kura,wana mwok na bandula za noti ,etii jеnga mama boi chwani ,ongeza binti halima ,chwani tena chwani chwani kwa fatuma na baba okelo washo na wajali maеndeleo hipo ,wakisha apishwa
ongeza bei ya unga ,ongeza bei ya mafuta weka double double ata ya kibiriti zile pesa za campaign lazima tuzirudishe kwenye benki zetu
hook ; shgri ben shgri ben, saba saba cheza saba saba saba yoo, cheza saba (x2)
you might also like
Saksikan Video Lirik Lagu Volvexzshawa - Saba Saba Berikut ini..
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu dailey & vincent - hillbilly highway
- lirik lagu bravoo hunnidz - jaywalking
- lirik lagu sharpen wave - tank vs crash, johnny vs cash
- lirik lagu zz - a to z (one piece edition)
- lirik lagu gogol bordello - сили перемоги
- lirik lagu synth chris - lotkey
- lirik lagu ka - no reservations
- lirik lagu the gallahads - silently
- lirik lagu cookie bbt - fa7se
- lirik lagu rizza - потерянный (lost)