lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Lirik Lagu Serikali kuu Ya Mizuka – Flex


By: Admin | Artist: S serikali kuu ya mizuka | Published: 2024-04-07T06:43:46:00+07:00
Lirik Lagu Serikali kuu Ya Mizuka – FlexLirikku.ID - Lirik Lagu Serikali kuu Ya Mizuka – Flex: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Lirik Lagu Serikali kuu Ya Mizuka – Flex" yang dinyanyikan oleh Toton S serikali kuu ya mizuka. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Lirik Lagu Serikali kuu Ya Mizuka – Flex Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

[verse 1: young lunya]
man of the year, dress code
never stuck on my way niko na escort
ni kiwingu naleta giza na ni mchana
mjini bebe mpya hakuna sie wenzako tun~z~import
najiona mbali sana yes bana
ukiona kama wanakukazia watembezee spana
kata keki keki kubwa jichagulie upana
maadui zangu hawashindani wanapambana
swag kama joslin, yes mimi
pesa inaongea, mandem is speaking t shillings
east african mbuzi best rapper it’s 2024
na bado najisifia f~ck your past feelings
wameenda kote kama mimi wanajaonaga
afu sio kwa mbwembwe sio kwa rhymes sio kwa swaga
pia sio kwa noma, sio kwa love, sio kwa zaga
hesabu zangu hazielewekagi zig zaga

[hook: deddy]
shocking vibes, wanahamaki
na niki pull up you can’t tell me nothing
tulipotoka man! we had nothing
tunavyofanya saa hii kama illuminati
so tuna flex, we flexing
yeh yеh flex, we flexing
tuna flеx, we flexing
yeh yeh! flex, we flexing
[verse 2: moni centrozone]
wananiita inflensaa utasema doto magari
hakinuki kinanukia ni pokopoko manjari
unapunwa kwenye kamali unaputwa ka sio kabali
ukiona mirungi mishisha basi jua sele halali
na mziki sio lazma town watu washatokea motika
kesho jiwe la wiki leo ndo nandandia ngorika
hasira shingo zimefura ka tunaugulia goita
siku hizi wine tukishakula huku tunaangalia lolita
imekuwa victory lap
nna bebe iko na nyama navyoila huku naislap
napost move zilizopita ka unanifatilia snap
hivo ukitaka kubana ka ukijua issa wrap
na mambo ya house party nimewaachia wakalii wa jiji
wakiuliza dom vipi nawaambia dodoma jiji
wanantumia mialiko na bado siji
bora niende tabata kwa mwanangu bad weedy

[hook: deddy]
shocking vibes, wanahamaki
na niki pull up you can’t tell me nothing
tulipotoka man! we had nothing
tunavyofanya saa hii kama illuminati
so tuna flex, we flexing
yeh yeh flex, we flexing
tuna flex, we flexing
yeh yeh! flex, we flexing
[verse 3: country wizzy]
13 years in the game, call me baba
mpaka leo watoto nawakaba
bye bye nyingi but don’t f~ck without a rubber
allow me to introduce wizzy, me ni shaba
najua kupoa madem ng’oa i mind my f~cking business
ukiona watoto wanatoboa basi they f~cking listen
kila baba anachosema so mshinishindanishe
me naenda kama daraja so wacheni watoto wapite
watu wana snitch wakiiona money
me mwenyewe natosha one man army
i can never beg a b~tch for punani
mambo sijui ya kuchuja tulianza zamani
pesa ndo mpango ndo wanapoliwa mama zako
na anachukuliwa mbele yako
na utakalishwa kitako, na tutakwacha peke yako nani alilie shida zako tafuta mkwanja we hustle my n~gga (pyuh)
okay easy dog yeah
huwezi rap kama hivi bro yeah
kama zilla jinsi nilivo yeah
wizzy ni balaa, king wizzy king wizzy wizzy ni balaa

[hook: deddy]
so tuna flex, we flexing
yeh yeh flex, we flexing
tuna flex, we flexing
yeh yeh! flex, we flexing
[verse 4: msamiart]
njwani akamanyapo kun’jini twise kubhomba fiki
malafyale kiki fyofiki komakipiki
ughwe umenyeeee kukajaa mbeyaaa nakijitiiii
nimefungua dunia, na nia bhakutifiki
nilipo nimwene, twesa pamopene
kuchanganya unyaki k~menijaza mapene
amasiku agha sitikeee nimnenee
mweee eeeh momumooo nkamu mpaka waseme
we outchea johari masaki mjini tayari, umenye nfume kutali kwiputa sana kusali
achana na nilikofika nilikotoka ndio mbali
bhakuti nifikile bhakamanyapo hatulali
biashara ilikua kuuza vitu
congo tower kariakoo winga kila kitu
nimeaga kwetu bhati bhukagha wa k~myitu
abhandu bha kyala wamefungua roho kwatuuu

[hook: deddy]
so tuna flex, we flexing
yeh yeh flex, we flexing
tuna flex, we flexing
yeh yeh! flex, we flexing

[verse 5: salmin swaggz]
picha linaanza niko na mboga kama tano
zote zin~z~mia michano
kama mchizi flani nimedraw uko remitano
sa utanipa ngapi ka mitaa imenipa tano
got a lot of them i know, kama hater ni kibano
we made the game for these boys so lazima urespect
nnapomuona yule boy namuona fishmate
your whole gang wanaact like they know the business
we k!lling everything moving na hakuna kuacha witness
mapicha kibao kama snap ya supermodel
chini ya muarobaini mjomba nimeokota dodo
used to have nothing saivi wananiomba photos
ukifunga mmoja si mungu anafungua like 4 doors, oh no!
he a ceo, kwenye flow sean paul see how we, we go
ukiwa unashinda tu wanapanick why you getting better
na bado nikiona bebe zao nawaambia call me later

[hook: deddy]
shocking vibes, wana~hamaki
na niki~pull you can’t tell me nothing
tulipotoka man! we had nothing
tunavyofanya saa hii kama illumanati
so tuna flex, we flexing
yeh yeh flex, we flexing
tuna flex, we flexing
yeh yeh! flex, we flexing

[verse 6: teria]
si tunajua wanakunja sana rohoni kwao
tuna bang,tunatamba mpaka mtaani kwao
bila demu kila game tunapiga bao
na tuko fresh iwe kwa ngumi mpaka paauuww paauuwh
tukikutana nao sina story nao
hi! labda, size yao
tofauti kubwa kati ya wanangu na wanao
wameshindwa kabisa kuwa busy na mambo ya kwao
check itifaki, fake unabaki
unawekwa mtu kati na unatembezwa kiwacky
chuma imepaki, kushuka hatutaki
moshi umetanda kama tunachoma mishkaki
i’m just big boy with a one man show
teria bango kubwa one time for my crew here we go now
uzembe kitambo tuliutupaga huko kando tukajichoma machanjo as you can see now

[hook: deddy]
so tuna flex, we flexing
yeh yeh flex, we flexing
tuna flex, we flexing
yeh yeh! flex, we flexing

[verse 7: conboi cannabino]
stacking bills, bankroll’s on a roll
on the grind everyday my ambitions on a scroll
sacrifice my life kwenye hii game no joke
kila sauti inaposikika kila sehemu inakuwa smoke
on the scene, making moves like a chess
navigating life, each move, no less
checkmate moments, under life’s egress
mi ni mshindi kivyovyote check ambavyo ninavyo flex
i’m blessed ! kwenye mic huwaga sibahatishi
usiombe ukinikuta nimezungukwa na mchizi kama hivi
huu mchezo ni wa kwetu bila ya ubishi
do this rap familia zetu zije kuishi
real n~gga n~gga wala sicheki na makima
nishakuwa star but i never change my demeanor
usije kichwa kichwa ukahisi unaweza kunipima
gonna catch a body kesho wakakusahau nikakuzima

[hook: deddy]
so tuna flex, we flexing
yeh yeh flex, we flexing
tuna flex, we flexing
yeh yeh! flex, we flexing


Saksikan Video Lirik Lagu Serikali kuu Ya Mizuka – Flex Berikut ini..


Lirik lagu lainnya: