lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Lirik Lagu Roma mkatoliki – Diaspora


By: Admin | Artist: R roma mkatoliki | Published: 2024-13-05T03:17:57:00+07:00
Lirik Lagu Roma mkatoliki – DiasporaLirikku.ID - Lirik Lagu Roma mkatoliki – Diaspora: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Lirik Lagu Roma mkatoliki – Diaspora" yang dinyanyikan oleh Toton R roma mkatoliki. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Lirik Lagu Roma mkatoliki – Diaspora Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

tongwe records beiby
(bin laden)
umwambie sikupenda, kuikimbia nchi yangu
kabla kalenda nimeondoka kabla ya mwanangu
na sijui ninapokwenda na simjui na mrithi w~ngu
usije ukambemenda mwanangu oii
kitovu chake ukizike nilipopitisha unyayo
akiwa wa kike ndo furaha nitakayo
ukinizalia dume inshallah ni hayo
nitampa jina la mtume na nitamuita matayo
akikuwa mwambie babake alikuwa mwanaharakati
na ukamwonyesha ununio ndio k~mbuk~mbu iliyobaki
awaheshimu nduguze ambao walimwachia ziwa
wamdhamini wamtunze abadani asijione mkiwa
na asinichukie mimi maana sik~mchukia babu yake
akikuwa atajua kwanini na ataheshimu maamuzi yake
na uchunge ulimi aishike dini yamkini ana jini mkongwe
na umsikizishe yangu mapini ~~~
na ukipata usimsahau mama, mk~mbuke na bibi
niombee nitusue mnyama, nabeba kavu msumbiji
sijui nitakuona nitakufa sijui nitarudi
akikuwa mwambie roma ndo baba we ndo shahidi
uvumilie, utulie, umlilie
haya maisha ni safari
usilie, uvumilie, umtuliе na ulilie
haya maisha ni safari
nafahamu utazaa kwa uchungu
leba utalia na mengi yakidondoka chini ya uvungu
atambеba malaika wengi
mimba huja na kisirani, na kuna unavyotamani
k~mvukuta sivo mfodhani ila siwezi rudia njiani
na unafahamu hunnie ile nyumba uridhi haina vigae
so unaweza pima mzani ni budi ama nikomae
bora nikomae tu tujichange tumjengee mama kibanda
inshallah mpaka uzae nitakuwa nimejipanga
na nimetuma picha yangu waonyeshe wanangu wasinisahau
waambie baba atarudi uwape moyo angalau
kuna muda nina hamu ya ngono ila sina hamu ya mapenzi
so please ongeza visomo kwa yule ustadh wa mbezi
najua unanimiss ila jitunze nami nitakutunzia fimbo
walinde wanangu wao ndo warithi na ndizo za roma simbo
wananiambia mashabiki roma rudi uchukue jimbo
huku ukizingua polisi tu unawekewa goti la shingo
basi ni hayo tu maisha ni mapambano ila sio sinza
na usisahau kuwapa tano dajide, mada na siza
na uwaambie huku watu hawachagui kazi
ila majungu na umbea yaani vitu ni vingi mzazi
uvumilie, utulie, umlilie
haya maisha ni safari
usilie, uvumilie, umtulie na ulilie
haya maisha ni safari
uvumilie, utulie, umlilie
haya maisha ni safari
tongwe records beiby
(bin laden)


Saksikan Video Lirik Lagu Roma mkatoliki – Diaspora Berikut ini..


Lirik lagu lainnya: