lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Lirik Lagu Rayvanny – Wababa


By: Admin | Artist: R rayvanny | Published: 2024-20-06T22:47:45:00+07:00
Lirik Lagu Rayvanny – WababaLirikku.ID - Lirik Lagu Rayvanny – Wababa: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Lirik Lagu Rayvanny – Wababa" yang dinyanyikan oleh Toton R rayvanny. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Lirik Lagu Rayvanny – Wababa Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

wababa
sindo wababa
wababa
ila trapendwa na vidada

soundboy

wababa
sindo wababa
wababa
ila trapendwa na vidada
eyoo lizer

pesa ya kusuka…
na simu kali
ama unataka duka…
au ka gari…
ama wapenda kuzunguka
twende nchi za mbali…
ila beba mafuta
huko kuna baridi kali…

mtu mzima naitwa babe
hela ina balaa hela
mvi hazionekani
hela ina balaa hela
mubaba naitwa babe
hela ina balaa hela
uzee hauonekani
hela ina balaa hela
kweli nakitambi okonko je utanipa!?
ntakupa!!!
sura mbaya ila na hela je utanipa
ntakupa!!!
mi mubabab, miaka mia saba
ntakupa!!!
ukiletaga, n~z~vunja chaga…

ooh, hatuongei…
utashoboka mwenyewe…
meza imenoga vinywaji we jisogeze ulewe…
hatutongozi we leta namba mwenyewe…
huduma tutazokupa wiki utaomba uolewe…

wababa
sindo wababa
wababa
ila trapendwa na vidada

wababa
sindo wababa
wababa
ila trapendwa na vidada

masharobaro kazi kukipodoa hela twahonga sisi…
ma slay queen wanatulilia ka mfupa kwa fist…
wanapenda tiketi za dubai na wengine paris…
tukiingia bar macho kodo si wanataka pipi…
ma rang ekuhonga hatuogopi…
aah hatuna baya
dada kapuku anageuka boss
aah hatuna baya
ufanye siri siri wife mkorofi…
piga picha mkono sura usi nipost…

mtu mzima naitwa babe
hela ina balaa hela
mvi hazionekani
hela ina balaa hela
mubaba naitwa babe
hela ina balaa hela
uzee hauonekani
hela ina balaa hela

kweli nakitambi okonko je utanipa!?
ntakupa!!!
sura mbaya ila na hela je utanipa
ntakupa!!!
mi mubabab, miaka mia saba
ntakupa!!!
ukiletaga, n~z~vunja chaga…

ooh, hatuongei…
utashoboka mwenyewe…
meza imenoga vinywaji we jisogeze ulewe…
hatutongozi we leta namba mwenyewe…
huduma tutazokupa wiki utaomba uolewe…
wababa
sindo wababa
wababa
ila trapendwa na vidada

wababa
sindo wababa
wababa
ila trapendwa na vidada

nipe uno la wazee, lakipedeshee
nipe uno la wazee watoto wazuri wakushobokee
nipe uno la wazee lakipedeshee
nipe uno la wazee watoto wazuri tu wakushobokee

mmmh nipe uno la wazee
lile lakipedeshee
yani uno la wazeee
pisi kali tu zikushobokee

nipe uno la wazee
lakipedeshee
nipe uno la wazee watoto wazuri wakushobokee


Saksikan Video Lirik Lagu Rayvanny – Wababa Berikut ini..


Lirik lagu lainnya: