lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Lirik Lagu Nandy – Wasikudanganye


By: Admin | Artist: N nandy | Published: 2024-23-05T21:59:44:00+07:00
Lirik Lagu Nandy – WasikudanganyeLirikku.ID - Lirik Lagu Nandy – Wasikudanganye: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Lirik Lagu Nandy – Wasikudanganye" yang dinyanyikan oleh Toton N nandy. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Lirik Lagu Nandy – Wasikudanganye Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

wasikuambie kwamba mimi eti sina lolote
labda wakuambie sina ujanja juu yako
wasikudanganye watakupa utakacho chochote

wataitoa wapi furaha yako
maana wabaya hawatoki mbali
jirani yako we ndio anapenda usile
hawatokubali kuona bendera ya penzi lako inapepea
hawatokujali kipindi ambacho mawazo
yanafanya usile watakutupia mbali

si ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie
tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie
ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi
kuninginia si tumetoka mbali
mazoea na ushakuwa maua

moyo moyo w-ngu mimi
unauendesha moyo moyo
funga macho na masikio ziba moyo moyo
usiwasikie usiwaone pia moyo moyo
umegota kwako moyo w-ngu moyo moyo
auuu uuh moyo moyo usiwaone pia

kukosa majaribu moyo usije
tia donda ukauchubua maumivu yani adhibu
kisa upendo furaha kuichua
kwenye kosa niadhibu nami mwanadamu
siku ntakosea kukuacha
sijaribu wapi niende nami kwako nishajifia
ila usifanye kama fimbo
ufanane na tindo ukashindwa kujali maumivu yangu

si ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie
tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie
ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi
kuninginia si tumetoka mbali
mazoea na ushakuwa maua

moyo moyo w-ngu mimi
unauendesha moyo moyo
funga macho na masikio ziba moyo moyo
usiwasikie usiwaone pia moyo moyo
umegota kwako moyo w-ngu moyo moyo
auuu uuh moyo moyo usiwaone pia

ouuhh moyo moyoo huu moyo
moooooyo heyyyy huu moyooo oh moyooo w-ngu
mimi ah moyo moyo funga macho moyo moyo uuh baby


Saksikan Video Lirik Lagu Nandy – Wasikudanganye Berikut ini..


Lirik lagu lainnya: