lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Acha Lizame - Nandy Lyrics


By: Admin | Artist: N nandy | Published: 2024-22-09T08:37:17:00+07:00
Acha Lizame - Nandy LyricsLirikku.ID - Acha Lizame - Nandy Lyrics: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Acha Lizame - Nandy Lyrics" yang dinyanyikan oleh Toton N nandy. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Acha Lizame - Nandy Lyrics Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

yao yao jeshi
ooi boy boy
konde boyi
maembe suru chuku chuku ni sasamole
mi naning’inia kwa marati nipopoe
(on the beat)
kiduchu nipe tena baba nijue
mi nakuzimia usizingue unisumbue wewe
mapenzi yetu ni ya mimi na wewe tu
usikize watu wananyongwa mbaya
basi nifanye kitu na boxy (lazizi wee)
usiku nipe shoti (lazizi wee)
ama nishike magoti (lazizi wee)
nilemshe mkombozi (lazizi wee)
ooh mi mwenzako imeshanikolea
my baby boy oooh ah
ukienda zako mi nitanyong’onyea
ooh mi mwenzako imeshanikolea
my baby boy oh ah
ukienda zako nitanyong’onyea
acha lizame!
baby unapenda vya giza giza kama ujainizoea
acha jua lizame!
maana raha ya kuingiza ujue inapotokea
acha lizame!
unapenda vya giza giza kama hujanzoea
acha lizame…
mama unafanya tembo
kutwa nadindinsha mkonga
we ndo kiboko ya warembo
wale wanaojipitisha vitonga
penye dhiki ni shuruba
mikeko ndo ulinik*mbata
piki piki upande uber
popote nilipo ukanifwata
mimi bado wananiita mzugaji (nilingojea)
sikidhi hata yako mahitaji (nilingojea)
sina biashara mtaji (nilingojea)
ulisema mola ndo mpaji (nilingojea)
ooooh maana nipande tumwage mbolea
baby oh uh oh ah
ukitaka tena tutaendelea
oh oh ooh
shamba mwaga maji nimwage mbolea
my baby oh uh oh ah
ukitaka tena tuataendelea
acha lizame!
baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea
acha jua lizame!
maana raha ya kuingiza ujue inapotokea
acha lizame!
unapenda vya giza giza kama hujanizoea
acha jua lizame …
whine nikuuliza
bora ningejitengeneza oh nah nah
oii boy boy, oooii boy boy
yeah yeah yeah yeah
oii boy boy
the african princess
baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea
maana raha yakuingiza ujue inapotokea
unapenda vya giza giza kama hujanizoea
asa whine nimecool na bora ningejitengea
konde boy!


Saksikan Video Acha Lizame - Nandy Lyrics Berikut ini..


Random Song Lyrics :

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...

LIRIK YANG LAGI HITS BULAN INI

Loading...