lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Lirik Lagu Mr Seed Feat. Bahati – Kumbe Kumbe


By: Admin | Artist: M mr seed feat bahati | Published: 2024-02-07T06:55:20:00+07:00
Lirik Lagu Mr Seed Feat. Bahati – Kumbe KumbeLirikku.ID - Lirik Lagu Mr Seed Feat. Bahati – Kumbe Kumbe: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Lirik Lagu Mr Seed Feat. Bahati – Kumbe Kumbe" yang dinyanyikan oleh Toton M mr seed feat bahati. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Lirik Lagu Mr Seed Feat. Bahati – Kumbe Kumbe Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

mr seed eh, na bahati bahati tena
(emb records)

k-mbe k-mbe, k-mbe k-mbe eeh
kwa yesu ni raha haaa
k-mbe k-mbe, k-mbe k-mbe eeh
kwa yesu ni raha haaa
k-mbe k-mbe, ni ra raha haa
k-mbe k-mbee, ni ra raha haa

wacha niwashow oh oh
kwa yesu ni raha
namwita papa god oh eeeh
niliokoka wakacheka hoh hoh hoh
wakanipa wiki sasa ni more oh oh

nilizaliwa huruma,
na place nimefika ni neema na huruma
sa ni huduma, kwa yesu kuna raha
nakatika nachuchumaa
nilizaliwa huruma,
na place nimefika ni neema na huruma
sa ni huduma, kwa yesu kuna raha
nakatika nachuchumaa

k-mbe k-mbe, k-mbe k-mbe eeh
kwa yesu ni raha haaa
k-mbe k-mbe, k-mbe k-mbe eeh
kwa yesu ni raha haaa
k-mbe k-mbe, ni ra raha haa
k-mbe k-mbee, ni ra raha haa

hakuna hangover
ila bila gharama
labda turuke kesha
au kulala salama ah
yesu asifiwe, hadi dar sallama
hapa tu ni baraka, hatutaki laana
si ni wachanga ndio,
na tunataka raha ndio
tusiharibu matarajio
ju raha za shetani ni mashaka ndio
si ni wachanga ndio,
na tunataka raha ndio
tusiharibu matarajio
ju raha za shetani ni mashaka ndio

nilizaliwa huruma,
na place nimefika ni neema na huruma
sa ni huduma, kwa yesu kuna raha
nakatika nachuchumaa

k-mbe k-mbe, k-mbe k-mbe eeh
kwa yesu ni raha haaa
k-mbe k-mbe, k-mbe k-mbe eeh
kwa yesu ni raha haaa
k-mbe k-mbe, ni ra ni raha haa
k-mbe k-mbee, ni ra ni raha haa

si ni wachanga ndio,
na tunataka raha ndio
tusiharibu matarajio
ju raha za shetani ni mashaka ndio
si ni wachanga ndio,
na tunataka raha ndio
tusiharibu matarajio
ju raha za shetani ni mashaka ndio

nilizaliwa huruma,
na place nimefika ni neema na huruma
sa ni huduma, kwa yesu kuna raha
nakatika nachuchumaa
nilizaliwa huruma,
na place nimefika ni neema na huruma
sa ni huduma, kwa yesu kuna raha
nakatika nachuchumaa

k-mbe k-mbe, k-mbe k-mbe eeh
kwa yesu ni raha haaa
k-mbe k-mbe, k-mbe k-mbe eeh
kwa yesu ni raha haaa
k-mbe k-mbe, ni ra ni raha haa
k-mbe k-mbee, ni ra ni raha haa

kwa yesu ni raha haa
kwa yesu ni raha haa
ah k-mbe k-mbe, ni ra ni raha haa
(emb records)


Saksikan Video Lirik Lagu Mr Seed Feat. Bahati – Kumbe Kumbe Berikut ini..


Lirik lagu lainnya: