lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Ups And Downs - Miracle noma Lyrics


By: Admin | Artist: M miracle noma | Published: 2024-21-09T19:23:36:00+07:00
Ups And Downs - Miracle noma LyricsLirikku.ID - Ups And Downs - Miracle noma Lyrics: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Ups And Downs - Miracle noma Lyrics" yang dinyanyikan oleh Toton M miracle noma. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Ups And Downs - Miracle noma Lyrics Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

(intro) yiih mood inakata, unadata uko happy unajihisi uko down..

unapigana mpaka soo..

(verse 1)
ubinadamu kazi alisema kibla sir nature/
wanataka wakuweke chini kisa wana pesa/
wanapenda life yako isiwe freshi iwe mbovu/
mf-koni hauna cash, kichwani unastress mobb/
ndo wanapenda uishi hivyo mzee/
uone dunia mbaya mpaka uwish kifo mzee/
asa kwanini unaiombea mi matatizo mzee/
unaacha k-muomba mungu uende paradiso mzee!!/
sijui kwanini!! siku hizi tumekua hatupendanagi/
waliokufa sio maboya kisa wamekwenda na maji/
naamini mama ndo mshikaji wa kweli ambae atanishikilia hadi kesho/
sio mshkaji ambae ukizinguananae anakushkia hadi beto/
asa kwanini hautulii na maisha yako unahangaika/
unafatilia maisha ya watu kama we hauna maisha/
namaanisha hausomeki sikuelewi niaje/
mi sina nguvu pambana tu na maisha niache/

(godzilla) hook..
unapigana mpaka soo, mood inakata, unadata uko happy unajihisi uko down…
watu wanakuchooraa, k-mbe life ni ups and down…

(verse 2)

badala ungoje lini yesu atarudi unangoja nife/
mi sikupendi babu hata ukiniletea mambo ya kike/
acha kusnitch man-gg-r, hujui hata jins sh ngapi/
mtoto wa kishua hadi boxer unanunuliwa na b mdashi/
nyota nikishine watabaki macho juu/
izo tano za kinafki hata usinipe baki nazo tu/
sioni unachofanya, unanichora picha nafuta/
muda ambao unapoteza kunidiss mi natafuta/
ongea na watu pesa haichimbi kabuli/
in-z-ka tabu na kufanya uone mjini pazuri/
dunia kubwa jiachie acha kunibania/
unamaindi nikilewa na hujawahi hata kunipa mia/
amini kuwa mungu ni mmoja/
amini yule jamaa aliekuacha na shida akatambaa sio mtu ni nyoka/
asante mungu kunionesha mbali napofumba macho/
njia ya k-mzuia mw-nga ni kusali sio kufunga mlango/

(godzilla)
unapigana mpaka soo, mood inakata unadata uko happy unajihisi uko down..
watu wanakuchoraa, k-mbe life ni ups and down

(outro)
miracle noma and god to da zizi, zillaaa..
mailimbili dom city, salasala n-gg-a we in a house..
bin laden wasaaaap…


Saksikan Video Ups And Downs - Miracle noma Lyrics Berikut ini..


Random Song Lyrics :

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...

LIRIK YANG LAGI HITS BULAN INI

Loading...