lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Lirik Lagu Mbosso - Watakubali


By: Admin | Artist: M mbosso | Published: 2024-13-07T10:44:34:00+07:00
Lirik Lagu Mbosso - WatakubaliLirikku.ID - Lirik Lagu Mbosso - Watakubali: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Lirik Lagu Mbosso - Watakubali" yang dinyanyikan oleh Toton M mbosso. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Lirik Lagu Mbosso - Watakubali Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

[intro]
maaaaaaaa aaaah ah!
uh ohohohohoh
oh ohohoh! (wasafiii)
hhhmm
maaaaaaaa aaaah ah!
iyoo lizer
uh ohohohohoh
oh ohohoh!

[verse 1]
asalala mungu kaninyima upole
hali yangu majalala
mwali nliekosa mkole
terminal mbagala
ofisi ajira ndole
nawakalisha mafala
wajinga wakuja bongo
wageni wa dar es salaam

[bridge]
vipi nitakidhi mahitaji yako
yangu yananishinda
hali mbaya sina godoro
na vipi kuhusu wazazi wako
kielimu mimi mjinga
j-po mapenzi haya
hayanaga kasoro
kama una k-mbuk-mbu
hata baba yako nlishawahi k-mkaba
alilia kwa uchungu na mama yako
nlipompola zaga

[chorus]
je! watakubali?
hivi unadhani (watakubali?)
wazazi wako (watakubali?)
me nawe hatulingani (watakubali?)
hadhi yangu na yako (watakubali?)
hivi unadhani (watakubali?)
waaaa aaah…! (watakubali?)
shida mama shida (watakubali?)
aaaaah ah!

[verse 2]
najua watamani tuoane
miguu yangu kutwa iko busy eeh!
sitaki ubaki mjane
kula kw-ngu hadi nikimbizwe eeh!
niendapo barabarani
usinisubiri nikikwambia ngoja
maana si kazi ila vitani
kufa ni tendo la mara moja
muda mwingine shati begani
pekupeku utadhani nimerogwa
mguu nje mguu ndani
defender inakubeba kama mzoga
raha ya mapenzi ushemeji kucheka
dada na majirani
na nishafanya kote manjegeka
hawanipendi mtaani

[bridge]
vipi nitakidhi mahitaji yako
yangu yananishinda
hali mbaya sina godoro
na vipi kuhusu wazazi wako
kielimu mimi mjinga
j-po mapenzi haya
hayanaga kasoro
kama una k-mbuk-mbu
hata baba yako nlishawahi k-mkaba
alilia kwa uchungu na mama yako
nlipompola zaga

[chorus]
je! watakubali?
hivi unadhani (watakubali?)
wazazi wako (watakubali?)
me nawe hatulingani (watakubali?)
hadhi yangu na yako (watakubali?)
hivi unadhani (watakubali?)
waaaa aaah…! (watakubali?)
shida mama shida (watakubali?)
aaaaah ah!

[outro]
nkuonge kisimu cha camera (naanzaje!)
na kila rusha roho madera (naanzaje!)
eeeeh!
saloon uwende kila week (naanzaje!)
weekend twende kwa miziki (naanzaje!)
naaaaanzaje?


Saksikan Video Lirik Lagu Mbosso - Watakubali Berikut ini..


Lirik lagu lainnya: