lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Sina Makosa - Les Wanyika Lyrics


By: Admin | Artist: L les wanyika | Published: 2024-21-09T13:52:50:00+07:00
Sina Makosa - Les Wanyika LyricsLirikku.ID - Sina Makosa - Les Wanyika Lyrics: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Sina Makosa - Les Wanyika Lyrics" yang dinyanyikan oleh Toton L les wanyika. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Sina Makosa - Les Wanyika Lyrics Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

hasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure baba
yule si wako
nami si w-ngu
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
hasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure baba
kwako hayuko
kw-ngu hayuko
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
hasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure baba
wewe una wako nyumbani
nami nina w-ngu nyumbani
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
nasema sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana
sina makosa wee bwana


Saksikan Video Sina Makosa - Les Wanyika Lyrics Berikut ini..


Random Song Lyrics :

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...

LIRIK YANG LAGI HITS BULAN INI

Loading...