lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Lirik Lagu Kwaya Ya Uinjilisti Ya Vijana Arusha Mjini – Nasikia Kengele Za Christmas


By: Admin | Artist: K kwaya ya uinjilisti ya vijana arusha mjini | Published: 2024-13-07T04:14:41:00+07:00
Lirik Lagu Kwaya Ya Uinjilisti Ya Vijana Arusha Mjini – Nasikia Kengele Za ChristmasLirikku.ID - Lirik Lagu Kwaya Ya Uinjilisti Ya Vijana Arusha Mjini – Nasikia Kengele Za Christmas: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Lirik Lagu Kwaya Ya Uinjilisti Ya Vijana Arusha Mjini – Nasikia Kengele Za Christmas" yang dinyanyikan oleh Toton K kwaya ya uinjilisti ya vijana arusha mjini. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Lirik Lagu Kwaya Ya Uinjilisti Ya Vijana Arusha Mjini – Nasikia Kengele Za Christmas Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

nasikia kengere za christmas zinalia sasa…
ni wapi ni wapi ni wapi mwokozi w-ngu amezaliwa…
tazama nyota hiyo ina kwenda bethlehemu kwenye holi alipolazwa mtoto kristo yesu mwokozi…

wachungaji waliacha kondoo zao waifuata nyota ya mashariki…
nawe christmas acha vyote kwanza msalini eeh mtoto yesu… x 2

n-z-sikia shangwe za christmas zinavuma kote…
ni wapi ni wapi ni wapi mwokozi w-ngu amezaliwa…
ahadi zake mungu zatimia leo kwetu kazaliwa mwokozi yesu…

wachungaji waliacha kondoo zao waifuata nyota ya mashariki…
nawe christmas acha vyote kwanza msalini eeh mtoto yesu… x2

sikieni kelele za christmas duniani kote ni wapi ni wapi ni wapi mwokozi w-ngu amezaliwa
mjini mwake daudi kazaliwa mtoto yesu na ufalme uko begani hata milele…

wachungaji waliacha kondoo zao waifuata nyota ya mashariki…
nawe christmas acha vyotekwanza msalini eeh mtoto yesu…

wachungaji waliacha kondoo zao waifuata nyota ya mashariki…
nawe christmas acha vyotekwanza msalini eeh mtoto yesu…


Saksikan Video Lirik Lagu Kwaya Ya Uinjilisti Ya Vijana Arusha Mjini – Nasikia Kengele Za Christmas Berikut ini..


Lirik lagu lainnya: