lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Lirik Lagu K son Rap – Nitachana


By: Admin | Artist: K k son rap | Published: 2024-12-07T20:55:07:00+07:00
Lirik Lagu K son Rap – NitachanaLirikku.ID - Lirik Lagu K son Rap – Nitachana: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Lirik Lagu K son Rap – Nitachana" yang dinyanyikan oleh Toton K k son rap. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Lirik Lagu K son Rap – Nitachana Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

(verse 1)
nitachana mpaka uzee kama sugu../wakiloga nitachana kwa ishara kama bubu../sitoacha nitachana kama rado kwenye kutu../kama stopa nitachana style zaidi ya tatu../nini tuzo nitachana kama nash msinipe ata buku../piga kiki piga snare mandavaku nitachana bila guitar bila dufu../nitachana kwenye nguzo na misingi bila promo za mabantu../gangsta nitachana kama guru../nitachana kiukombozi fikra ziwe huru../mkinipa mic nitachana mpaka ikulu../miaka tele nitachana kama salu..t/nitachana kama slouta wa majitu../mtoto wakiume nitachana kama geez mabovu../nitachana kama wembe wabaki na makovu../kitaani most wanted nitachana kama d kn~b..nitachana kama d rob../nitachana kino nitaibeba mabegani kama nyandu../nikiondoka mnik~mbuke kama dandu../nitachana kama lufu kwahizi kiki heavy kama lindu../hakuna chakuogapa chini ya mbingu../sitochana kuhusu chuki wala wivu../nitachana kiafrika kwa baraka za machifu.. masharifu.. mawalii manabii watukufu../turudi kwenye tamaduni zetu sasa ndo nachana deep kama mansulii kina kirefu../(“sinza sata”) rest in power mac2b
(verse 2)
nitachana kama s.og..buff g kiujamaa../nitachana kama solo thang kiulamaa..nitachana kama gangwe luten kalamaa../sitoogopa nitachana kishujaa..
nitachana kama cannibal na sharma../
nitachana kama zizzi lakuchumpa bei chee halina garamaa../nitachana kiprofessional kama fid../bila weed bila drugs nitachana kama chid../rasta bila dreadlocks nitachana kama mchizi mox../ghetto boy nitachana kama bibo climax../till i die nitachana canabino conboi..kwahizi tungo zenye stanza adim..nitachana kama sogydoggy kwenye kibanda cha cm../sina kikosi kama pina nitachana kama dogo hashim../yoo kibongo kinyamwenga nitachana kama saigon../.kama nature hili game taff kwеli.. nitachana kama raff nelly../back to the sua nitachana kama sight more../kama squeezеr kwa ubishi na hasira mimi naja nitachana kama d na k wamapacha../kwenye kipaza nitaubiri kama pastor../nitachana kama zuzu tmk kwenye kinasa..nitachana kama kwanza na kibacha../rivacamp nitachana kama bonta..jua likizama ndo nitachana kama nyota../


Saksikan Video Lirik Lagu K son Rap – Nitachana Berikut ini..


Lirik lagu lainnya: