lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Lirik Lagu Johnny vigeti – Mr. Vigeti


By: Admin | Artist: J johnny vigeti | Published: 2024-05-07T20:08:06:00+07:00
Lirik Lagu Johnny vigeti – Mr. VigetiLirikku.ID - Lirik Lagu Johnny vigeti – Mr. Vigeti: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Lirik Lagu Johnny vigeti – Mr. Vigeti" yang dinyanyikan oleh Toton J johnny vigeti. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Lirik Lagu Johnny vigeti – Mr. Vigeti Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

[intro]
real talk eh! kweli!

[verse 1]
penye nia sikosi njia
na mambo ikisomwa kweli mi sikutosi dear
hawatoshi makali na plus hawatoshi beer
homie skia, homie skia
kila mtu anaulizia where johnny be at? (sure)
ni-ondolee mambo ya usoni biatch
hatufanyi maswala kama form haisomi ishia
hesabu wale walio tufanya mambo utaniskia
tuna-deal na watu real plus ma-phony pia
kwa kudra za maulana ndio tunaishi
family mob-tu wamelala bila dishi
daily hustle machizi ng’ang’ana na mafisi
form fit hamkosi
kila mwisho wa mwezi
hide and seek na landlordy
kwani mother uliniachia laana
huyu brother amechanganikiwa kwa sana
bugia ma-prama!

[chorus]
kama kawaa
mr. vigeti mi na kuw-nga sawa
ever ready kama battery zile za paka pawa
machizi si-tushapagawa
nusa kahawa
ni hawa hawa
mr. vigeti mi na kuw-nga sawa
ever ready kama battery zile za paka pawa
machizi si-tushapagawa
nusa kahawa

[verse 2
hata sijui ni blame uchumi
plus ………kutoka kwa dame ni sumni
siku hizi wale wanadungwa feh ni k-mi
uhuru manze skiza hii story
watoto wadogo ndio wana akiza main glory (mbaya sana)
huku waki-glorify uhuni
look around you hakuna story ya uzuri (hakuna man!)
sijui nani nita-point kidole
mtu fulani anakufa juu ya coins kayole(imagine hiyo)
ishi maisha ya kobole(ehe!)
k-mejaa asante ama my dear pole
juu ya tupesa kadhaa unakatakatwa
serekali ina-raid mitaa tuna-fuatwa fuatwa
una-uliwa kisha u-tupwa kwa taka taka (woiii!)
mi mi nina piga magoti
kaa unani-skiza apana kunipita sir-gody

[chorus]x2
kama kawa
mr. vigeti mi na kuw-nga sawa
ever ready kama battery zile za paka pawa
machizi si-tushapagawa
nusa kahawa
ni hawa hawa
mr. vigeti mi na kuw-nga sawa
ever ready kama battery zile za paka pawa
machizi si-tushapagawa
nusa kahawa


Saksikan Video Lirik Lagu Johnny vigeti – Mr. Vigeti Berikut ini..


Lirik lagu lainnya: