lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Sitabaki Kama Nilivyo - Joel Lwaga Lyrics


By: Admin | Artist: J joel lwaga | Published: 2024-24-09T01:36:03:00+07:00
Sitabaki Kama Nilivyo - Joel Lwaga LyricsLirikku.ID - Sitabaki Kama Nilivyo - Joel Lwaga Lyrics: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Sitabaki Kama Nilivyo - Joel Lwaga Lyrics" yang dinyanyikan oleh Toton J joel lwaga. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Sitabaki Kama Nilivyo - Joel Lwaga Lyrics Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

no time no problem
download and open an sc mobile digital account
open an account in less than fifteen minutes

and get it all done, be unstoppable with standard chartered

maisha haya, ninapita tu
hali hii ya sasa ni kwa muda tu
ushindi w*ngu, u karibu nami
mtetezi w*ngu, yu hai

sitabaki kama nilivyo
sitabaki kama nilivyo
sitabaki kama nilivyo
sitabaki kama nilivyo

silalamiki, wala sikufuru
najua ni darasa napitishwa
imani yangu ipo kwenye kipimo
najua nitapita tu

sitamani ya wengine wala sijilinganishi
najua wakati w*ngu upo
siogopeswi na mapito ninayoyapitia
namwamini yule aliyeruhusu nipite

sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama)
sitabaki kama nilivyo (hali hii ni ya muda)
sitabaki kama nilivyo (hali hii hapa napita tu)

(kweli ninavuka)
sitabaki kama nilivyo (kuna mahali ninakwnda)
(eeeh sitabaki kama…)
sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
sitabaki kama nilivyo (nilivyo)

mtetezi w*ngu yu hai ((yu hai)
yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)

eeeh mtetezi w*ngu yu hai ((yu hai)
yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)

hey mtetezi w*ngu yu hai ((yu hai)
anaishi (yu hai)
yu hai (yu hai)

sitabaki kama nilivyo (nilivyo)
mtetezi w*ngu yu hai ((yu hai)
yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)

hey mtetezi wako yu hai (yu hai)
yu hai ((yu hai)
yu hai (yu hai)

kweli mtetezi w*ngu yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)
sitabaki kama nilivyo (nilivyo)

sitabaki kama nilivyo (kweli nitashinda tu)
sitabaki kama nilivyo (siumii na hali hii)
(nafurahishwa na ile ijayo)
sitabaki kama nilivyo (hey kama, sitabaki hivi)
sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama)

sitabaki kama nilivyo (giza huwa nene alfajiri)
sitabaki kama nilivyo (asubuhi yangu yang’aa)
sitabaki kama nilivyo (kweli nitainuka tu)
sitabaki kama nilivyo (bwana yuko nami nilivyo)


Saksikan Video Sitabaki Kama Nilivyo - Joel Lwaga Lyrics Berikut ini..


Random Song Lyrics :

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...

LIRIK YANG LAGI HITS BULAN INI

Loading...