![lirikku.id](/inc/logo.png)
Lirik Lagu Harmonize – Show Me
By: Admin | Artist: H harmonize | Published: 2024-01-07T13:25:30:00+07:00
![Lirik Lagu Harmonize – Show Me](https://i0.wp.com/file.laponta.id/img/uploads/lirik-lagu-harmonize-show-me.png)
[intro]
ayooo lizer
wasafi records
[verse 1: harmonize]
aah mwenzako i feel so good kipindi nikikuona
au huo mwendo unafanya kusudi na ulivyoshona
wakati unakwenda au unarudi wakata kona
nyuma ka katuni za masudi ulivyonona
eeeh! hivi unapenda wa vifua ka roboti ama sanamu
au wazee wa kununua mwaga noti akina sallam
[pre-chorus: rich mavoko]
oooh oh anita macho kama unaniita, (aaahaaaa)
saa sita shepu vera sidika (aaahaaaa)
anita macho kama unaiita (aaahaaaa)
saa sita shepu vera
[chorus: harmonize & rich mavoko]
ahh show me! show me!
show me! (unavyodance)
show me! show me!
show me! (waonyeshe unavyodance)
aah show me! (eeh) show me!
show me! unavyodance)
show me! (eeh) show me!
show me! (waonyeshe unavyodance)
[verse 2: rich mavoko]
umenifinyanga kama dona mmakonde na ndonya
kama mpira maradona kichuya kona
na wakisema na mawenge waambie werrason
wakiringisha peremende nitakugawia koni
chunga kipenzi majaribu mabaya sana oooh
na wewe ndo dokta wa kunitibu niwe salama oooh
[pre-chorus: rich mavoko]
oooh baby anita macho kama unaniita (aaahaaaa)
saa sita kiuno ka yondo sister (aaahaaaa)
anita macho kama unaniita (aaahaaaa)
saa sita kiuno ka yondo sister
[chorus: harmonize & rich mavoko]
ahh show me! show me!
show me! (unavyodance)
show me! show me!
show me! (waonyeshe unavyodance)
aah show me! (eeh) show me!
show me! unavyodance)
show me! (eeh) show me!
show me! (waonyeshe unavyodance)
[outro: harmonize & rich mavoko]
(wasaaafi)
asa mombasa nairobi (sakata dance)
kampala kigali (sakata dance)
zimbambwe kwatobi (sakata dance)
naija somali ( toto sakata dance)
wanangu wa panya road (sakata dance)
chaukucha kwa sadali (sakata dance)
na unyamani biomi (sakata dance)
kizonga kwa natali (toto sakata dance)
aaahaaaa aaahaaaa aaahaaaa
(unavyodance)
aaahaaaa aaahaaaa aaahaaaa
(waonyeshe unavyodance)
Saksikan Video Lirik Lagu Harmonize – Show Me Berikut ini..
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu yule – intro-spezione
- lirik lagu sabino feat. natalia lafourcade – lo que construimos
- lirik lagu the inglorious m.o.b. – m.o.b-she will(rmx)
- lirik lagu gregory kemmis – exchange – (radio edit)
- lirik lagu ramona falls – guide us through
- lirik lagu nealo – angel on my shoulder
- lirik lagu ninja sex party – i wish
- lirik lagu eska – ¿qué diste?
- lirik lagu to the wolves – misguidance
- lirik lagu prxjek – where the fuck is god 2