lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Ua - Ezzy skillz Lyrics


By: Admin | Artist: E ezzy skillz | Published: 2024-28-09T17:24:12:00+07:00
Ua - Ezzy skillz LyricsLirikku.ID - Ua - Ezzy skillz Lyrics: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Ua - Ezzy skillz Lyrics" yang dinyanyikan oleh Toton E ezzy skillz. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Ua - Ezzy skillz Lyrics Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

aah
uliniomba tule yamini nkahisi unantania
ombi lako nkapiga chini na hata skuonesha nia
me nlichokua naamini upendo utaleta njia
ya wewe na mimi ndipo mwisho wetu ukafikia
so ukaamua kuondoka haikuwa rahisi
maana ulishachoka na kuna vitu kw*ngu ulimiss
yes ulinikosea ulipotoweka bila bye
direction nlipotea na haukuwahi nisabahi
taratibu nliwaza skujua lini nitakuona
upweke uliusambaza na maumivu yasiopona
i wish nikuone tena j*po mara moja
i know haitokuwa mapema lakini bado ntangoja

hata nkisema nakupenda sana
hauwezi elewa nlikutenda jana
binadamu hukosea sana
nimejirudi tusahau yale
hata nkisema nakupenda sana
hauwezi elewa nlikutenda jana
binadamu hukosea sana
nimejirudi tusahau yale

nak*mbuka ulisema eti nawe unataka kuimba
kisa jealous imekujaa
sometimes hadi studio ulitimba
na washikaji walikushangaa
navimiss vile visa vituko tu vyako mah
ulivyofanya makusudi niamini unanipenda sana
lakini sikuelewa yo time i took it for granted
sitaki fail tena and yo love that’s all i want eh
i’m sorry mchumba rudi kw*ngu tena
silewi nayumba maisha yangu yapo kama cinema
nuru imenijia kukutia leo machoni
naapa sitorudia ntakutunza kama mboni

hata nkisema nakupenda sana
hauwezi elewa nlikutenda jana
binadamu hukosea sana
nimejirudi tusahau yale
hata nkisema nakupenda sana
hauwezi elewa nlikutenda jana
binadamu hukosea sana
nimejirudi tusahau yale

yeah
najua nimekosea baby naomba unisamehe
baby me ni mwanadamu
wala siyo malaika

hata nkisema nakupenda sana, (hey yeeh)
hauwezi elewa nlikutenda jana
(wouh ooh)
binadamu hukosea sana
(nakosea sana)
nimejirudi tusahau yale
hata nkisema nakupenda sana
(hey yeeh)
hauwezi elewa nlikutenda jana
(wouh ooh)
binadamu hukosea sana
(nakosea sana)
nimejirudi tusahau yale
(binadamu tunakosea….)

writted by ezzy sk!llz
2020©


Saksikan Video Ua - Ezzy skillz Lyrics Berikut ini..


Random Song Lyrics :

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...

LIRIK YANG LAGI HITS BULAN INI

Loading...