lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Lyrical Tongue Twista - E-sir Lyrics


By: Admin | Artist: E e sir | Published: 2024-25-09T16:15:49:00+07:00
Lyrical Tongue Twista - E-sir LyricsLirikku.ID - Lyrical Tongue Twista - E-sir Lyrics: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Lyrical Tongue Twista - E-sir Lyrics" yang dinyanyikan oleh Toton E e sir. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Lyrical Tongue Twista - E-sir Lyrics Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

[intro]
baba, mama, kaka, dada
auntie, uncle
mamanzi, mabeshte, wanati
ma-producer

[verse 1]
kila mtu anashuku vile mtiririko huu wa huyu ndugu
umeingia nairobi na kusambaa kwa miji kama nakuru
na kudhuru ubongo, si uwongo
kupendwa na kila mtu
kama label ya fubu, nafikiri
labda ni vile nabwaga zawafanya mnataka kunihanda
kuniweka nyuma ya canter, kunivukisha mpaka tanzania
na isipowezekana somalia ama uganda
lakini hai-tawezekana vile nabamba ni kama stima na maji ikishikana
danger
kila wakati natema wanapenda
wanasema tuangushie tena
it’s the number one rap contender
niliona mahali pa kupita nikapenya
sasa december to december
nitaendelea kuwaletea chapter
baada ya chapter ya huyu kijana anayepepea
e-sizzle

[hook]
ni e-sir! (e-sir!)
pewa mbili kwenye kichwa
lyrical tongue twister na mister k-i-swahili
nani yuko na shida na mimi?
(e-sizzle, matatizo)
ni e-sir! (e-sir!)
pewa mbili kwenye kichwa
lyrical tongue twister na mister k-i-swahili
nani yuko na shida na mimi?
(e-sizzle)

[verse 2]
kwa hivyo flow ukiitaka
pole pole ikifuatiwa na haraka
au vice versa, kaka au dada
uliza na sitasita kukuangushia flow inayofanya kichwa
kwenda mbele na nyuma ikionyesha mishipa
na mister e dash, pewa cash
mnati, pewa mbili kwa kitambi
nachukia wanaonichukia vile nachukia kufanya dhambi, basi
nawa-ignore na kufanya vile nafanya kwa amani
better yet, kama wimbo wa shaggy
nice and lovely
ukijia pesa zangu, naleta ukali
zamani nilikuwa si-mix business na pleasure
well, guess what?
bado sizichanganyi, samahani
nimesahau kukuambia hisia kukusaidia ku-party
e-sir ya-rock flows, utafikiri nas na jay-z wamekuja kenya
ama tupac na biggie wame-resurrect tena
(e-sizzle)

[hook]
ni e-sir! (e-sir!)
pewa mbili kwenye kichwa
lyrical tongue twister na mister k-i-swahili
nani yuko na shida na mimi?
(e-sizzle, matatizo)
ni e-sir! (e-sir!)
pewa mbili kwenye kichwa
lyrical tongue twister na mister k-i-swahili
nani yuko na shida na mimi?
ni e-sir! (e-sir!)
pewa mbili kwenye kichwa
lyrical tongue twister na mister k-i-swahili
nani yuko na shida na mimi?
(e-sizzle, matatizo)
ni e-sir! (e-sir!)
pewa mbili kwenye kichwa
lyrical tongue twister na mister k-i-swahili
nani yuko na shida na mimi?
ni e-sir! (e-sir!)
pewa mbili kwenye kichwa
lyrical tongue twister na mister k-i-swahili
nani yuko na shida na mimi?
(e-sizzle, matatizo)
ni e-sir! (e-sir!)
pewa mbili kwenye kichwa
lyrical tongue twister na mister k-i-swahili
nani yuko na shida na mimi?


Saksikan Video Lyrical Tongue Twista - E-sir Lyrics Berikut ini..


Random Song Lyrics :

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...

LIRIK YANG LAGI HITS BULAN INI

Loading...