![lirikku.id](/inc/logo.png)
Lirik Lagu Diamond platnumz – Mapenzi Basi
By: Admin | Artist: D diamond platnumz | Published: 2024-07-07T12:05:01:00+07:00
![Lirik Lagu Diamond platnumz – Mapenzi Basi](https://i0.wp.com/file.laponta.id/img/uploads/lirik-lagu-diamond platnumz-mapenzi-basi.png)
[intro]
(a~a~a, am records)
this is crazy
but, i just wanna tell you
how badly my heart is breaking
this is absolutely painful for me to say
‘d~mn’
[chorus]
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
[verse 1]
yalinifanya nikaugua
mara napanga napangua
mwili ukakonda nikapungua
ah, sikulala (sikulala)
oh, maradhi nikaugua, oh oh
yakanichoma na kuungua roho
kutwa nawaza na kuwazua
sikulala…
[pre~chorus]
eh
haya mapenzi bwana
hayana maana
yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nsh~gombana
nikatukanwa
lakini akanipiga teke
aiih
haya mapenzi bwana
hayana maana
yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nsh~gombana
nikatukanwa
iye
[chorus]
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
[verse 2]
oh, nilish~gombana na mama mzazi
akataka nimwagia radhi
sababu yule fulani
yule wa moyo w~ngu
yakaleta zengwe kwa kazi
ugomvi wa simba na panzi
vurugu kwa majirani
ah, e mola yangu
[pre~chorus]
eh
haya mapenzi bwana
hayana maana
yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nsh~gombana
nikatukanwa
lakini akanipiga teke
aiih
haya mapenzi bwana
hayana maana
yalinifanya mi nichekwe
sababu yake nsh~gombana
nikatukanwa
iye
[chorus]
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
mi mwenzenu tena basi
oh, mapenzi sitaki
oh, mwenzenu tena basi
basi
sitaki
Saksikan Video Lirik Lagu Diamond platnumz – Mapenzi Basi Berikut ini..
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu kidup – arizona
- lirik lagu kaysthetic – stay
- lirik lagu sig mdnight – inside (run it up!)
- lirik lagu vanille debray – man on the moon
- lirik lagu katsuum1 – импланты
- lirik lagu decrat – sustalı (ft. velet)
- lirik lagu marcelo cacilias – sacrifício
- lirik lagu cyber666 – nopuedo++
- lirik lagu nada obrić – da te nije
- lirik lagu pm6 – intro 100