lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Lirik Lagu Dena mwana – Roho Yangu


By: Admin | Artist: D dena mwana | Published: 2024-03-07T07:11:17:00+07:00
Lirik Lagu Dena mwana – Roho YanguLirikku.ID - Lirik Lagu Dena mwana – Roho Yangu: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Lirik Lagu Dena mwana – Roho Yangu" yang dinyanyikan oleh Toton D dena mwana. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Lirik Lagu Dena mwana – Roho Yangu Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

[paroles de “roho yangu”]

sijuwe nitete ye je
kwani maneno ya mimenipita aah
nguvu na ukwabwa wa pendo lako

huwezi ku pimwa
hujuwa niya zangu uuh
baba hujuwa uga w~ngu ouuh
maneno yangu machache kukueleza
upendo w~ngu kwako

sikiliza roho yangu baba
moyo w~ngu hukuimbiya
sikiya nyembo ya upendo ooouh
wa mutoto uliye mkombowa aah
nita chukuwa maneno yangu mabovo
kutangaza ukubwa wako
kwa kweli siwezi
kusema chochote
baba sikiya roho yangu
aaaaaaaah
aaaaaaah ouh aaaah
sasa kama nvuwa
maneno yangu yangu tiririka aah
ninge kuwa na minugu mikononi mw~ngu
singeweza kusema
ila ndani ya roho yangu ooouh
baba hujuwa yote eiiii
aksante kwa maisha ukweli njiya
baba ubarikiwe
sikiliza roho yangu baba
moyo w~ngu hukuimbiya
sikiya nyembo ya upendo ooouh
wa mutoto uliye mkombowa aah
nita chukuwa maneno yangu mabovo
kutangaza ukubwa wako
kwa kweli siwezi
kusema chochote
baba sikiya roho yangu

sikiliza roho yangu baba
moyo w~ngu hukuimbiya
sikiya nyembo ya upendo ooouh
wa mutoto uliye mkombowa aah
nita chukuwa maneno yangu mabovo
kutangaza ukubwa wako
kwa kweli siwezi
kusema chochote
baba sikiya roho yangu
humm
kwa kweli siwezi
kusema chochote
baba sikiya roho yangu

baba baaaaaba
baaaaaba baaaaaaaaaaaaaaaa
baaaaaaaaa ah
baabababababa
kweli siwezi
kusema chochote eii
baba w~ngu
babaaa
kwa kweli siwezi
sema chochote
sikiya roho yangu


Saksikan Video Lirik Lagu Dena mwana – Roho Yangu Berikut ini..


Lirik lagu lainnya: