![lirikku.id](/inc/logo.png)
Lirik Lagu Demi alicia - Naamini
By: Admin | Artist: D demi alicia | Published: 2024-07-07T11:12:19:00+07:00
![Lirik Lagu Demi alicia - Naamini](https://i0.wp.com/file.laponta.id/img/uploads/lirik-lagu-demi alicia---naamini.png)
demi alicia lyrics
intro
naamini, naamini
verse 1
ni asubuhi na mapama
naamka kwenda kutafuta
riziki wala sina muda
sina mali wala nyumba
nakodi hata kwa vibanda
naamini siku itafika
bridge
maana kuna muda
maji yan~z~di unga
n~z~di k~mwomba mumba
kikombe hiki anitolee
kuna wakati wa suna
wala sioni hata mvua
ipo siku mi najua
siku yangu itafika
chorus
naamini
naamini
naamini
naamini
verse 2
nashkuru mama
kwakunilea
j~po mwanitegemea
niombeeni
nitang’ang’ana saana
uf~kara usije tupata
tununue kashamba
tujenge nyumba
na tufuge vibata
na nimelala hoi
kisha naamka
wala hata sikomi
kucha natafuta
nikipata sawa
nikikosa sawa
bridge
maana kuna muda
maji yan~z~di unga
n~z~di k~mwomba mumba
kikombe hiki anitolee
kuna wakati wa suna
wala sioni hata mvua
ipo siku mi najua
siku yangu itafika
chorus
naamini
naamini
naamini
naamini
Saksikan Video Lirik Lagu Demi alicia - Naamini Berikut ini..
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu disclosure - you & me (rivo remix)
- lirik lagu 52blue & dropped here - tausend gesichter
- lirik lagu threesi - paris
- lirik lagu chayín rubio - desilusiones
- lirik lagu akmal' - кто ты? (who are you?)
- lirik lagu ginhouse - and i love her
- lirik lagu the materia - volveré por ti
- lirik lagu antónio zambujo & yamandú costa - tristeza do jeca
- lirik lagu rirugiliyangugili - tktx
- lirik lagu emma lynne - message received - demo