lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Lolo - D voice Lyrics


By: Admin | Artist: D d voice | Published: 2024-30-09T12:17:13:00+07:00
Lolo - D voice LyricsLirikku.ID - Lolo - D voice Lyrics: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Lolo - D voice Lyrics" yang dinyanyikan oleh Toton D d voice. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Lolo - D voice Lyrics Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

kwahiyo ndo unadhani labda ningelia
ulivyoniacha au labda ningeshindwa kula
au labda unadhani ningekunywa sumu
ulivyoniacha au labda ningeshindwa kulala
kwanza lihusiano lenyewe lilipooza
auna jipya style mpya umedoda
maajabu hauna ndani pumzi kisoda
nijinyonge kisa we unawazimu umerogwa

aiy ndo maana usiulizwe why uliachwa
haujui kulamba lolo, haujui kulamba lolo
usiulize kwanini uliachwa (haujui kulamba lolo)
haujui kulamba lolo

kwanza alafu hata haiyumi (mbona hainikereketi)
mbona hata hichomi (mbona hainipwiti pwiti)
alafu hata haiyiumi (mbona hainikereketi)
mbona hata hichomi (mbona hainipwiti pwiti)
ah eh*eh eh*eh! haya!

uzuri wako wa filter unakudanganya
umeniacha juzi jana nimepata bwana
tena mtu mwenye hela alafu tunaendana
tushakula viapo mi nae atuwezi achana
ona kwanza kila siku unataka mchezo, kwani huchoki kenge wewe
na ukinyimwa tu unanuna paka upewe
kibonge mayai upigi msamba paka ulewe
ety haunipendi hainihusu utajuwa mwenyewe
aiy ndo maana usiulizwe why uliachwa
haujui kulamba lolo, haujui kulamba lolo
usiulize kwanini uliachwa (haujui kulamba lolo)
ah! mbona lolo

kwanza alafu hata haiyumi (mbona hainikereketi)
mbona hata hichomi (mbona hainipwiti pwiti)
alafu hata haiyiumi (mbona hainikereketi)
mbona hata hichomi (mbona hainipwiti pwiti)
ah eh*eh eh*eh! weka!

wanangu tuwarudishe shuleni
masela shuleni, tuwarudishe shuleni, ah jm
twende mkanda mkende mkindi mkondo
(utakufa vibaya wewe) maaama!
kwanza mpamba mpembe mpimbi (uongo)


Saksikan Video Lolo - D voice Lyrics Berikut ini..


Random Song Lyrics :

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...

LIRIK YANG LAGI HITS BULAN INI

Loading...