![lirikku.id](/inc/logo.png)
Lirik Lagu Chris kaiga – Kengele
By: Admin | Artist: C chris kaiga | Published: 2024-04-07T22:30:27:00+07:00
![Lirik Lagu Chris kaiga – Kengele](https://i0.wp.com/file.laponta.id/img/uploads/lirik-lagu-chris kaiga-kengele.png)
[intro]
(ai)
ati? ati nini wewe (sawa)
kelele, kelele!
[chorus]
naskia manduru na mashangwe na makelele (woo! mashangwe na makelele)
toka mandugu na madada wanawetete (ati? madada wanawetete)
ambia waiter tuko huku na maglass empty (bana)
tuko huku na maglass empty
na tunangoja zitupige kama kengele (zitupige kama kengele)
[verse 1]
vipi famalan form ya leo ni walalal
toa form ni~perform kama acrobat
cheza na bimmer nakam na magala
wale wameiva pamoja na mzinga
baadaye zikishika tucheza na six pack kadhaa
mizinga kadhaa
ndani ya bar zitushike ka skin tight
all night hadi wazime ma~streetlights
badilisha plus size to a slim type
namsugua hadi namuwacha streamlined
tonight (tonight), mafisi wana~hunt for ma feline (feline)
leo atatembea angle inclined (inclined)
atm zitawika, “declined!” (declined)
magala wana figure ziko defined (defined)
ai, defined (defined)
ghai ghai ghai ghai ghai
[chorus]
naskia manduru na mashangwe na makelele (woo! mashangwe na makelele)
toka mandugu na madada wanawetete (ati? madada wanawetete)
ambia waiter tuko huku na maglass empty (bana)
tuko huku na maglass empty
na tunangoja zitupige kama kengele (zitupige kama kengele)
[verse 2]
naskia ital (ayy), naskia irie (ayy)
leo nawasha lighter pamoja na siren (sss)
leo napanga kupiga tizi ya ma~bicep
nikizipiga kama fighter na ma right~left
na na~light dem hadi naskia enlightened
mali swafi brathe, kitu high end
vutia vaite supply yangu ni direct
toa kabambe dial 0~7~9~8
[chorus]
naskia manduru na mashangwe na makelele (woo! mashangwe na makelele)
toka mandugu na madada wanawetete (ati? madada wanawetete)
ambia waiter tuko huku na maglass empty (bana)
tuko huku na maglass empty
na tunangoja zitupige kama kengele (zitupige kama kengele)
bana
Saksikan Video Lirik Lagu Chris kaiga – Kengele Berikut ini..
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu saya gray – found a floorboard under the soil!
- lirik lagu chulimane – fina y vulgar
- lirik lagu cheri – give it to me baby
- lirik lagu oak glen – dancing with your ghost
- lirik lagu louis seize – partir
- lirik lagu zuna – mufasa
- lirik lagu juicy j – you can cry traduction french
- lirik lagu celestia afton – ten nights at nightmare’s
- lirik lagu kenny rivers – one way
- lirik lagu daniel la toure – broken v1