lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Chuki - Aslay Lyrics


By: Admin | Artist: A aslay | Published: 2024-21-09T19:40:10:00+07:00
Chuki - Aslay LyricsLirikku.ID - Chuki - Aslay Lyrics: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Chuki - Aslay Lyrics" yang dinyanyikan oleh Toton A aslay. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Chuki - Aslay Lyrics Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

hashir
ola la-la la
maadui
wamenizidi pesa na umri
nashangaa
sijui
au tuseme nina kiburi
nakataa
wanidai siwadai
ila nashangaa wananichukia
chuki zisizosababu
wanachinja mbuzi kafara
ili aslay apotee
ona wanvyomwaga hela
eh mungu baba unitetee
wanamiliki mavogivogi
wanashindana na me dongotee
wana wish hataa niishiwe kodi
ni tange tange
wanizomee
me myongeee
nimlilie nani kama si wewe
kisa tonge
wanabania waniondoeee

ila
me najikaza hvo
me najikaz
najikaza hvo hvo
me najikaza hvo
me najikaz
najikaza hvo hvo(wanasema nalewaa)

me najikaza hvo
me najikaz
najikaza hvo hvo
me najikaza hvo
me najikaz
najikaza hvo hvo(ety aslay kaishiwa)

ma-fungu saba
ridhiki unagawa tu maanani
we-ngine labda
wanataka kushindana nawe
mmmh mpaka napiga magoti (magoti)
namlilia mama (mama)
kisha narudi kwako
umlaze salama
sawa nyinyi manoti notiii
tutakutana kiyama
mnyonge narudi kwako
kwako maulana

wanachinja mbuzi kafara
ili aslay apotee
ona wanvyomwaga hela
eh mungu baba unitetee
wanamiliki mavogivogi
wanashindana na me dongotee
wana wish hataa niishiwe kodi
ni tange tange
wanizomee
me myongeee
nimlilie nani kama si wewe
kisa tonge
wanabania waniondoeee

ila
me najikaza hvo
me najikaz
najikaza hvo hvo
me najikaza hvo
me najikaz
najikaza hvo hvo(wanasema nalewaa)

me najikaza hvo
me najikaz
najikaza hvo hvo
me najikaza hvo
me najikaz
najikaza hvo hvo(ety aslay kaishiwa)


Saksikan Video Chuki - Aslay Lyrics Berikut ini..


Random Song Lyrics :

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...

LIRIK YANG LAGI HITS BULAN INI

Loading...