lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Sumu - Ali kiba Lyrics


By: Admin | Artist: A ali kiba | Published: 2024-24-09T08:23:10:00+07:00
Sumu - Ali kiba LyricsLirikku.ID - Sumu - Ali kiba Lyrics: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Sumu - Ali kiba Lyrics" yang dinyanyikan oleh Toton A ali kiba. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Sumu - Ali kiba Lyrics Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

yeah
aloooohh
ababaah
sounds by abbah
mke wa mtu tu tu tu tu sumu
kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
kaa mbali
mume wa mtu tu tu tu tu sumu
kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
kaa mbali eeh eeh
eh aah aaaah kuna jela
noma sana
aah aaaah kuna jela
sawa unakula bata
kula bata ila deni langu hunilipi aah uhmm
we unakula raha
ni nina njaa kale kadeni kangu hunilipi aaah
aaah aaah kuna kesho
ujue unaniburuga yelelee
we si unanivuruga sawa
ujue unaniconfuse yelelee
acha tu nile bati sawa
sisi sio milima tutakufana
sisi ni people tutaonana
si sio visima tutasomana
tukiwa kama people kitaumana umana
mke wa mtu tu tu tu tu sumu
kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
kaa mbali
mume wa mtu tu tu tu tu sumu
kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
kaa mbali eeh eeh
eh aah aaaah kuna jela
noma sana
aah aaaah kuna jela
mi ninachojua pesa karatasi eeh
mi ninachojua
mi ninachojua pesa karatasi eeh
mi ninachojua pesa karatasi
mi ninachojua pesa karatasi eeh
ni maua
wale walosema hutiboi leo wako wapi
walosema hutoboi leo wako wapi
eeh wapite kule, wapite kule kule kule
wapite kule
wale walosema hutiboi leo wako wapi
walosema hutoboi leo wako wapi
eeh wapite kule, wapite kule kule kule
wapite kule
sisi sio milima tutakufana
sisi ni people tutaonana
si sio visima tutasomana
tukiwa kama people kitaumana umana
mke wa mtu tu tu tu tu sumu
kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
kaa mbali
mume wa mtu tu tu tu tu sumu
kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
kaa mbali eeh eeh
eh aah aaaah kuna jela
noma sana
aah aaaah kuna jela


Saksikan Video Sumu - Ali kiba Lyrics Berikut ini..


Random Song Lyrics :

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...

LIRIK YANG LAGI HITS BULAN INI

Loading...