lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Sambusa - Addi chokoch Lyrics


By: Admin | Artist: A addi chokoch | Published: 2024-25-09T23:19:41:00+07:00
Sambusa - Addi chokoch LyricsLirikku.ID - Sambusa - Addi chokoch Lyrics: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Sambusa - Addi chokoch Lyrics" yang dinyanyikan oleh Toton A addi chokoch. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Sambusa - Addi chokoch Lyrics Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

hitman ting, hitman ting
badman ting, badman ting
hitman ting, hitman ting
utaniua aah, man ah badman ting

namdara kabisa ndo nimtoe joto
ndani ya nissan na usitie roho
hadi kwa misa nakatia poko
ukibakishwa nakupiga koto, ama

yes kidole sambusa
yes kidole sambusa
ama yes kidole sambusa
yes kidole sambusa

ni mabam kubwa sinambambuka
ni mabam kubwa sinambambuka
na ukilia machozi panguza
na ukilia machozi panguza

(addi chokoch rada gani)
dada kamata sista kata
tunachuna fudhi kutumia nail cutter
dada kamata sista kata
makejani tukiskiza dj katta
tunakamia nyap kijijini
wakomi wasomi hadi majini
mashoshe mafiat wako dukani
d king pin toka south b
kunanyesha damu mabatini
magaldem wako juu mitini
maboy dem wako chini
itakwaka ring, aii ni ma ring ding
namdara kabisa ndo nimtoe joto
ndani ya nissan na usitie roho
hadi kwa misa nakatia poko
ukibakishwa nakupiga koto, ama

yes kidole sambusa
yes kidole sambusa
ama yes kidole sambusa
yes kidole sambusa

ni mabam kubwa sinambambuka
ni mabam kubwa sinambambuka
na ukilia machozi panguza
na ukilia machozi panguza

chura chura anataka tu kupigwa keshwa
kura kura keeper anadai tu vanessa
kura kura anapiga tu bila chaser
sura sura hana na johnny amemteka
nakokota kipongi
aii ninachota hadi podi
cheki vile kanasoka ana songi
aii mi nateka tu hadi njoki, ai

nyap nyap eeh, nyap nyap woo
tandika tandika tandika ki nyap nyap
nyap nyap eeh, nyap nyap woo
tandika tandika tandika ki nyap nyap
nina laa ndani ya loo, ndani ya loo
laa ndani ya loo, ndani ya loo
namdara kabisa ndo nimtoe joto
ndani ya nissan na usitie roho
hadi kwa misa nakatia poko
ukibakishwa nakupiga koto, ama

yes kidole sambusa
yes kidole sambusa
ama yes kidole sambusa
yes kidole sambusa

afande we hapa kuna kurutu
ayaya na ana kutu
hapa ng’wee ah nitakulia mutu
ndogo ndogo nitakulia mututu
ngeus wake hapa ye huniita boo
ka ana nyege sitaki masahibu
ka ni mis mi si mista ibu
ka ana hanjam twende taratibu

ni mabam kubwa sinambambuka
ni mabam kubwa sinambambuka
na ukilia machozi panguza
na ukilia machozi panguza

namdara kabisa ndo nimtoe joto
ndani ya nissan na usitie roho
hadi kwa misa nakatia poko
ukibakishwa nakupiga koto, ama
yes kidole sambusa
yes kidole sambusa
ama yes kidole sambusa
yes kidole sambusa


Saksikan Video Sambusa - Addi chokoch Lyrics Berikut ini..


Random Song Lyrics :

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...

LIRIK YANG LAGI HITS BULAN INI

Loading...