lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Dance Ikibamba - Vdj jones Lyrics


By: Admin | Artist: V vdj jones | Published: 2024-29-09T19:28:26:00+07:00
Dance Ikibamba - Vdj jones LyricsLirikku.ID - Dance Ikibamba - Vdj jones Lyrics: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Dance Ikibamba - Vdj jones Lyrics" yang dinyanyikan oleh Toton V vdj jones. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Dance Ikibamba - Vdj jones Lyrics Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!

mimi ndio pedi wa mtaa
mnanuna ni ka si tumeleta corona
amka mdance!
unajua ni genje ni mbaya

(mavo on the beat)
bruz newton once again
yoh peter scarlet, padii!

ka ni dance mimi ndio pedi wa mtaa
nikitoa wote wan*z*tokaa
ka ni dance wote walijaribu kutap
mi ndio kanjo sasa hakuna tap

eh vdj jones akaniita kwenye track
gava inadai mi nivae mask
nikae home sina hata kapesa ka gas
niko njaa na siwezi mada verse

nasahau mpaka niko njaa
ngoma ikibamba ninakatika
dance ikibamba, watu wote zimeshika
wanakunja kiuno wakipiga guitar
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!

dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!

zinawashika kama mogoka
mlivunjika nikiwapiga
kina latifa wanakulika kama mifupa
unaingishwa tukitapika
mmejificha tukilipuka ngoja

moja, mbili, tatu

dance inachezwa na watu, a few
kabla ya saa moja, curfew
hakuna kupiga chafia, ahchew
ambulance, wiu wiu wiu

nasahau mpaka niko njaa
ngoma ikibamba ninakatika
na ni watu wote zimeshika
wanakunja kiuno wakipiga guitar
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!

dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!

dance tu, cheza ukiringa
cheza ukiringa
dance tu, cheza ukiringa
cheza ukiringa

nasahau mpaka niko njaa
ngoma ikibamba ninakatika
watu wote zimeshika
wanakunja kiuno wakipiga guitar

dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!

dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!
dance ikibamba, katika!


Saksikan Video Dance Ikibamba - Vdj jones Lyrics Berikut ini..


Random Song Lyrics :

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...

LIRIK YANG LAGI HITS BULAN INI

Loading...