lirikku.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #
.

Na Iwe Hivyo (ombi) - Congress musicfactory Lyrics


By: Admin | Artist: C congress musicfactory | Published: 2024-30-09T01:25:45:00+07:00
Na Iwe Hivyo (ombi) - Congress musicfactory LyricsLirikku.ID - Na Iwe Hivyo (ombi) - Congress musicfactory Lyrics: Halo Lirikku.ID, Dalam konten ini, kami menyediakan chord gitar untuk lagu "Na Iwe Hivyo (ombi) - Congress musicfactory Lyrics" yang dinyanyikan oleh Toton C congress musicfactory. Dengan chord yang disajikan, pemula atau penggemar musik dapat dengan mudah memainkan lagu ini dengan gitar mereka sendiri. Kami menyajikan chord dengan akurasi tinggi sehingga pemain dapat mengikuti alunan musiknya dengan baik. Juga, kami akan memberikan informasi tambahan mengenai lirik lagu dan mungkin beberapa tips untuk menyempurnakan permainan gitar. Konten ini cocok untuk penggemar musik yang ingin belajar lagu baru atau bagi mereka yang ingin menikmati kesenangan bermain musik dengan gitar. Silahkan disimak Na Iwe Hivyo (ombi) - Congress musicfactory Lyrics Berikut Dibawah ini untuk Selanjutnya.

na iwe hivyo (ombi)

neno hili neno ‘amina’ linamaanisha ‘na iwe hivyo’. na iwe hivyo. amen. [sisi] twainua mikono yetu kwako na tunakubariki. tunakuheshimu. tunakuabudu. tunasimama mbele yako na tunakubariki. tunakushukuru kwa kuwa mungu mwema na bwana mwaminifu. ambaye ametuongoza kwa miaka, na miaka na miaka, ambaye ametuleta kwa njia sahihi na akatuongoza kwa wakati ujao unaotabirika. twalibariki jina lako. tupatie nguvu zaidi ya kufanya mapenzi yako. tupatie uweza zaidi katika mataifa hapa duniani. tupatie mamlaka yasiyothibitiwa ili tukutukuze; ili tukuheshimu na tukuinue, ili wote wajue kwamba wewe ni mungu wa mbinguni, mfalme wa yote na muumba wa watu wote. hebu wote watambue wewe u nani, na jinsi ulivyo mkuu, vile wewe ulivyowakushangaza na wa ajabu. tupatie neema ili tukuhofu na tukuinue; tukuheshimu kwa chochote kile tunachokifanya


Saksikan Video Na Iwe Hivyo (ombi) - Congress musicfactory Lyrics Berikut ini..


Random Song Lyrics :

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...

LIRIK YANG LAGI HITS BULAN INI

Loading...