![lirikku.id](/inc/logo.png)
Lirik Lagu Naiboi - Makasiriko
usibishane na babu wewe
aaah
uuh yeah
ilogos music yeaah
nai nai
kwani bosss
hii mwaka haitaki makasiriko
a basi punguza alarm
hii mwaka haitaki makasiriko
sielewi mbona una jam
hii mwaka haitaki makasiriko
aya pewa kwa bill yangu
hii mwaka haitaki makasiriko
nausi tangazie watu
kuna sampuli flani ya watu boom
wanakuaga na roho chafu yeah
a wanajifanya mbele ya watu
eti marafiki k~mbe ndani nima chatu
a basi punguza feeling
vitu zingine hazinaga meaning
ya mvua unajua dalili
a nishaona mbele niko gangari
gangari eh
back stabber dem a back stabber
wanakukulia bila kutumia rubber (mafala)
itabidi leo tuwatoke ki design
fitina fitina na resign
nai nai
hii mwaka haitaki makasiriko
a basi punguza alarm
hii mwaka haitaki makasiriko
sielewi mbona una jam
hii mwaka haitaki makasiriko
aya pewa kwa bill yangu
hii mwaka haitaki makasiriko
nausi tangazie watu
hii mwaka si bishana mara mbili
vitu zingine uchokesha akili
hii mwaka nimechorea ma pressure
hii mwaka ni ya ku sakanya pesa
kwenye radio zidi kunisema
side yangu ni volume na ongеza
ye na tutazidi kuwa tesa
a naiboi worldwide tingisha mеza
hii mwaka haitaki makasiriko
a basi punguza alarm
hii mwaka haitaki makasiriko
sielewi mbona una jam
hii mwaka haitaki makasiriko
basi pewa kwa bill yangu
hii mwaka haitaki makasiriko
nausi tangazie watu
aaah
uuh yeah
ilogos music yeaah
nai nai
kwani bosss
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu whitenoisekids - meu caminho
- lirik lagu cian ducrot - endless nights
- lirik lagu angus mcsix - laser-shooting dinosaur
- lirik lagu masiahhh - parking lot freestyle
- lirik lagu anja kotar - can't blame a girl for trying
- lirik lagu big30 - ahunna shots
- lirik lagu epica - design your universe ("a new age dawns - part vi") (acoustic version)
- lirik lagu kaycyy - here
- lirik lagu sadness - routine colors
- lirik lagu milk3y - besties